Swahili poem

MACHUNGU YASIYOZOLEKA

By Eudiah Kamonjo

 

Rafiki?

Sikuelewa

Nakumbuka yeye kaja hivi

‘Nafaka natumaini

Wacha tuelewe

Utanifanyaje tajiri?’

 

Basi

Nikamsoro-o-o-o-o-o-ra

Juu chini

Kama kipepeo

Aliyemtamani

Kakaye chizi

Lakini roho ilikuwemo

Imechafuka

 

Naye akanitupia mikono

Maonyesho haswa

 

Sasa leo

Nakueleza hivi

Bwana huyu

Anijia

 

Aniinamia

Mie

Mie

Mie>>>> aliye

Onja na kutema

Kama vile

Maji machungu jangwani

 

Kaomba

Kaswali

Karamba hata

Yasiyomhusu

Ila siwezi

Siwezi kamwe

Kumsamehe 

Mazuri yamezimia

 

2 Responses to “Swahili poem”

 1. pascal Says:

  Good poem….leaves us wishing for more….what a suspense artist!
  Hats off mon cherie!

  Like

 2. Ayanna Says:

  Are u kidn me?! Its blank!

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s


%d bloggers like this: